
Mtume Gabriel Tikiko amesafiri mpaka Walikale kwa ajili ya injili. Mkutano mkuu wa injili umeanja huko Walikale na utakuwa wa juma moja. Tunawaalika watu wote huko Walikale kuja wengi ili tubarikiwe pamoja. Umufwate kila siku kwenye site hii.

Radio Télévision la Voix du Salut