M.C.P.E.M inatoa pole za rambirambi kwa inchi ya Tanzania kwa kifo cha rais wao. Kwa kweli rais huyo alikuwa mfano bora wa kuiga. Mtumishi wa Mungu pasta Benjamin anasema pole tena pole na Mungu ambaye ni mfariji wa kweli awa fariji.
Radio Télévision la Voix du Salut