
Mpendwa baada ya somo inayo sema Mungu wa visivyo wezekana sasa tumeanja somo juu ya nguvu ya maombi. Somo hili ni nzuri kuja tubarikiwe
Na tuko baombea pia mahitaji yetu ambayo Tumeombea muda mrefu na bado hatuja pata majibu
Radio Télévision la Voix du Salut