
Ilikuwa usiku wa tarehe 31/12/2022 kuamkia tarehe 01/01/2023, mtumishi wa Mungu Pasta Benjamin akatuambia kwamba huu mwaka wa 2023 itakuwa mwaka wa kuanja tena. Tunajua kwamba Mungu atajifunua kwetu zaidi ya kawaida.
Radio Télévision la Voix du Salut