
Mpendwa nakuambia kwamba kila siku kumeandaliwa kipindi cha maombi na mafundisho kwenye permanence yetu ku Salle Nzuki. Watu wote wanakaribishwa kwenye salle nzuki kila siku asubuhi 06h-08h na 13h-14h na vendredi ni 10h-17h pia Dimanche 12h-17h. Karibu kwa watu wote.