Pokea salamu zangu msomaji wangu, somo nzuri iko kwa ajili yako kwenye permanence ya M.C.P.E.M, mjini Butembo kwenye avenue Makasi. Watu wote wanahitajika kwa sababu baraka ni tele. Mtumishi anaye tuhudumia ni pasta Benjamin.
Unashida, una matatizo kuja uyalete kwa kwa Mungu, yeye atakupa majibu unayo ya hitaji. Ubarikiwe na Mungu msomaji wangu.