
mpendwa wangu kisha kumaliza somo pamoja na mtumishi wa Mungu Élie aliye leta somo inayosema ama Mungu ama sifuru, sasa tumeanja somo naye Dr Fabrice kutoka Goma. Kuja tubarikiwe pamoja ndani ya somo hili kwenye salle Nzuki. Karibu kwa wote


Radio Télévision la Voix du Salut